VERITE-NUE JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 1,481 Reaction score 1,450 Jul 11, 2025 #1 Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ambae ni mpatanishi katika mzozo wa kisiasa kati ya Rwanda na Congo,leo amemtembelea rais Kagame wa Rwanda. Ni katika juhudi za kutafuta suruhu la kudumu,ili kuleta amani ya kudumu,mashariki mwa Congo huko.
Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ambae ni mpatanishi katika mzozo wa kisiasa kati ya Rwanda na Congo,leo amemtembelea rais Kagame wa Rwanda. Ni katika juhudi za kutafuta suruhu la kudumu,ili kuleta amani ya kudumu,mashariki mwa Congo huko.