Uhuru Kenyatta akiri Kenya haina uwezo wa Kujilisha, kwamba hali itazidi kuwa mbaya siku zijazo.

Hahahaha, kwahiyo rais wako anavyolalamika kwamba Kenya haiwezi kujilisha inategemea Uganda na Tanzania, na kuonya kwamba hali itazidi kuwa mbaya zaidi siku zijazo alikua amevuta bhangi sio kweli?. Tanzania hoyeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Turudi pale mwanzoni nilipokuuliza, hujui kusoma au ni ung'eng'e ndio unakulemea? Rais analalama kuhusu sera na sheria mbovu za utumizi wa ardhi na sehemu ambazo zina rotuba na mvua ya kutosha Kenya. Lengo la malalamishi yake ni kwamba Kenya iache kutegemea 'imports' kutoka nje. Wewe hapo na kichwa chako cha kubebea meno tu umesikia jina 'food' ukapandwa na nyege.
 
We can't feed ourselves, we depend on food imports from Uganda, Tanzania and other countries. "Kenya can't feed itself". Tanzania hoyeeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ana tamani awauzie ardhi zao wanazo hodhi hawa Royal family
Na kama angesema anauza baadhi ya ardhi kwa wananchi Sijui kwa ekari itakuwa $ ngapi?
Kenya na Zimbabwe ni ndugu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Shenzi sana huyu, akachukue mahindi Zambia. Amechanvia sana kutuharibia soko la mahindi eti mahindi ya Tz machafu akawa anaagiza Zambia. Leo Zambia wana upungufu wa mahindi anajifanya watu wake hawajui kulima. Hakuna mwaka Kenya ilishajitosheleza kwa nafaka. Na wakenya wanajifanya wameendelea sana na kutudharau Watz. Mtakula jeuri yenu plus alshabab.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umemeandika ukiwa unagonga meza na kusema ndiyoooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe mleta mada huwa unasoma kwanza na kuelewa hizi taarifa kwenye hizi links ambazo huwa unazitupia humu? Rais Uhuru Kenyatta alisema kwamba Kenya bado inategemea imports(ambazo inanua) za vyakula ili kujitosheleza. Sasa hapo kuna nini cha ajabu wakati inafahamika wazi kwamba ardhi ambayo ina rotuba ya kutosha kuzalisha vyakula kwa uhakika Kenya ni 9% tu. Yaani 91% ya Kenya ni 'arid'/jangwa na 'semi-arid'.

Unatuangusha mzee baba, this is 2019, in that desert you can dig billions of liters of water for Irrigation, besides,
How many hectors of Land do u need to feed your 40mn kenyans, mko na lake Victoria, Cant you do Plantations? Kwa Mfano, Israel Donates food to Kenya despite its negligible landmass and 100% desert,
 
They are busy with peace keeping in Somaliland while there families are starving. To hell!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatuangusha mzee baba, this is 2019, in that desert you can dig billions of liters of water for Irrigation, besides,
How many hectors of Land do u need to feed your 40mn kenyans, mko na lake Victoria, Cant you do Plantations? Kwa Mfano, Israel Donates food to Kenya despite its negligible landmass and 100% desert,

Hii ni habari ama kitu yenye kila mtu anajua...

Lakini hii ni shida ya Kenya tu? Kuna watu wengi Afrika hawana chakula. Ni ushenzi. We have a ridiculously large landmass yet there has been minimal progress in terms of farming. On that note, a country can feed itself properly yet there are still poor people who can't afford food. America wastes food more than any country yet there are still people who can't afford food.
 
Shenzi sana huyu, akachukue mahindi Zambia. Amechanvia sana kutuharibia soko la mahindi eti mahindi ya Tz machafu akawa anaagiza Zambia. Leo Zambia wana upungufu wa mahindi anajifanya watu wake hawajui kulima. Hakuna mwaka Kenya ilishajitosheleza kwa nafaka. Na wakenya wanajifanya wameendelea sana na kutudharau Watz. Mtakula jeuri yenu plus alshabab.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom