Uhuru Kenyatta akiri Kenya haina uwezo wa Kujilisha, kwamba hali itazidi kuwa mbaya siku zijazo.

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
4,884
2,000
Kwani kuna kitu hao watu wanaweza kufanya vizuri bila ya kusimamiwa na mabwana zao wazungu?
 
Lihakanga

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
2,344
2,000
President Uhuru Kenyatta now admits that Kenya cannot feed itself : SDV.

My take: Tunawaomba majirani zetu mje kujifunza jinsi ya matumizi bora ya ardhi. Rais wenu anakiri kwamba ardhi ya Kenya haitumiki vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shenzi sana huyu, akachukue mahindi Zambia. Amechanvia sana kutuharibia soko la mahindi eti mahindi ya Tz machafu akawa anaagiza Zambia. Leo Zambia wana upungufu wa mahindi anajifanya watu wake hawajui kulima. Hakuna mwaka Kenya ilishajitosheleza kwa nafaka. Na wakenya wanajifanya wameendelea sana na kutudharau Watz. Mtakula jeuri yenu plus alshabab.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,139
2,000
Hivi wewe mleta mada huwa unasoma kwanza na kuelewa hizi taarifa kwenye hizi links ambazo huwa unazitupia humu? Rais Uhuru Kenyatta alisema kwamba Kenya bado inategemea imports(ambazo inanua) za vyakula ili kujitosheleza. Sasa hapo kuna nini cha ajabu wakati inafahamika wazi kwamba ardhi ambayo ina rotuba ya kutosha kuzalisha vyakula kwa uhakika Kenya ni 9% tu. Yaani 91% ya Kenya ni 'arid'/jangwa na 'semi-arid'.
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
12,533
2,000
President Uhuru Kenyatta now admits that Kenya cannot feed itself : SDV.

My take: Tunawaomba majirani zetu mje kujifunza jinsi ya matumizi bora ya ardhi. Rais wenu anakiri kwamba ardhi ya Kenya haitumiki vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
bora huyo jirani anasema ukweli kuliko huyu wetu na kutulisha matango pori kila uchwao...

sukari episode
makinikia episode
mikopo ya wanafunzi
50M kila kijiji episode
korosho episode
kuhamia Dodoma by December 2018
nk
nk
nk
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
18,769
2,000
Hivi wewe mleta mada huwa unasoma kwanza na kuelewa hizi taarifa kwenye hizi links ambazo huwa unazitupia humu? Rais Uhuru Kenyatta alisema kwamba Kenya bado inategemea imports(ambazo inanua) za vyakula ili kujitosheleza. Sasa hapo kuna nini cha ajabu wakati inafahamika wazi kwamba ardhi ambayo ina rotuba ya kutosha kuzalisha vyakula kwa uhakika Kenya ni 9% tu. Yaani 91% ya Kenya ni 'arid'/jangwa na 'semi-arid'.
Acha upimbi wewe, msikilize katika clip ya video anavyolalamika na kuwaonya wakenya hapo juu, wewe onyesha nchi yoyote duniani, zisizokua nchi za uarabuni ambazo hutegemea chakula cha kununua, hivi Kenya mnaweza kutegemea chakula cha kununua toka nje ya nchi kuwalisha wananchi wenu wa Samburu, Wajir, Pokot na kwengine note?, sasa fungus hiyo link na usome reactions za wakenya wenzako hapo nchini. Kama kuna nchi ya dunia ya tatu inayotegemea chakula cha kununua kutoka nje ya nchi, yaani inatumia foreign currency kununua chakula, hiyo nchi lazima ni failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,139
2,000
Acha upimbi wewe, msikilize katika clip ya video anavyolalamika na kuwaonya wakenya hapo juu, wewe onyesha nchi yoyote duniani, zisizokua nchi za uarabuni ambazo hutegemea chakula cha kununua, hivi Kenya mnaweza kutegemea chakula cha kununua toka nje ya nchi kuwalisha wananchi wenu wa Samburu, Wajir, Pokot na kwengine note?, sasa fungus hiyo link na usome reactions za wakenya wenzako hapo nchini. Kama kuna nchi ya dunia ya tatu inayotegemea chakula cha kununua kutoka nje ya nchi, yaani inatumia foreign currency kununua chakula, hiyo nchi lazima ni failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hivyo wewe hapo ni raia wa failed state? Kwasababu navojua Tz sio 'food sufficient', yaani hamjitoshelezi kwenye masuala ya lishe. Huoni aibu ukiinyoshea kidole nchi ambayo ni jangwa kwa 91% huku ukifumbia macho matatizo ya nchi yako ambayo ina ardi yenye rotuba na mvua ya kutosha?
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
18,769
2,000
Kwa hivyo wewe hapo ni raia wa failed state? Kwasababu navojua Tz sio 'food sufficient', yaani hamjitoshelezi kwenye masuala ya lishe. Huoni aibu ukiinyoshea kidole nchi ambayo ni jangwa kwa 91% huku ukifumbia macho matatizo ya nchi yako ambayo ina ardi yenye rotuba na mvua ya kutosha?
Egypt ni jangwa zaidi ya Kenya, lakini inajitosheleza kwa chakula. Rais wako mwenyewe anasema anategemea chakula toka Tanzania, wewe unasema hatujitoshelezi kwa chakula, nenda kaa na rais wako muelewane uje kivingine. Tanzania hoyeeeeeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cmoney

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
3,277
2,000
Mzee mbona povu sana vp hujapata mgao wa chakula nn

READERS ARE LEADERS
cc
VITABU
 
Acha umburula. Kwani Kenya huwa haiuzi vyakula nje ya nchi? Tena inaongoza Afrika kwenye 'exports' ya bidhaa nyingi k.m. maparachichi, macadamia. Kuwa 'food sufficient' sio kumaanisha kwamba unauzia nchi zingine vyakula. Ulisoma hadi darasa la ngapi jombaa? Egypt ni jangwa zaidi ya Tanzania pia, tena kwa mbali sana, ila hutasikia hata siku moja watoto wao wakila kinyesi.
 
pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,139
2,000
Mzee mbona povu sana vp hujapata mgao wa chakula nn

READERS ARE LEADERS
cc
VITABU
Povu ni la mtu kama wewe ambaye huwa anauza kura yake kwasababu ya sahani moja ya wali na maharage. Sio mimi jombaa, mimi najadili tu hojaless ya uzi huu, huku nikimuelimisha huyu kibwengo mwenzako.
 
joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
18,769
2,000
Acha umburula. Kwani Kenya huwa haiuzi vyakula nje ya nchi? Tena inaongoza Afrika kwenye imports ya bidhaa nyingi k.m. maparachichi. Kuwa 'food sufficient' sio kumaanisha kwamba unauzia nchi zingine vyakula. Ulisoma hadi darasa la ngapi jombaa? Egypt ni jangwa zaidi ya Tanzania pia, tena kwa mbali sana ila hutasikia watoto wao wakila kinyesi.
Hahahaha, kwahiyo rais wako anavyolalamika kwamba Kenya haiwezi kujilisha inategemea Uganda na Tanzania, na kuonya kwamba hali itazidi kuwa mbaya zaidi siku zijazo alikua amevuta bhangi sio kweli?. Tanzania hoyeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom