Ma rais Uhuru,Kagame na Museveni kukutana Nairobi mwezi ujao kuendeleza mazungumzo kuhusu reli, bomba la mafuta na shirikisho la EA. Kikwete missing in action yet again. Source The East African.
Kuna watu wapumbavu humu,,hata kama vitu sio vya national interests tujiunge tu,mwisho wa siku muanze kulalamika,,,,CDM ikipata nchi angalieni ya morsi yasiwatokee,,
Kwa hili namtetea rais wangu kwa nguvu zote,sijaona mantiki yakuwalamba viatu hawa viongozi wenye tabia za kike,hawa watusi wawili wanajuana vizuri malengo yao,na uhuru yupo kimaslahi tatizo nini?
Mlitaka kikwete awaombe msamaha au afanye nini? Waacheni watapetape madikteta wasiotaka kuwapisha wengine waongoze nchi zao,
kwa hili mi naona ni pa kuoneshea uwanaume wake, hatakiwi kumbembeleza mtu jiografia inawafanya waitegemee tz. Btw kama watu wa karibu na rais ndo akina mwigulu mnategemea nini?
Kuna watu wapumbavu humu,,hata kama vitu sio vya national interests tujiunge tu,mwisho wa siku muanze kulalamika,,,,CDM ikipata nchi angalieni ya morsi yasiwatokee,,
Kagame anapata jeuri ya kututusi tanganyika, kwasababu anajua ana support ya Museveni na Uhuru. Hili swala ni la kua nalo makini sana tofauti na hapo hao wenzetu wata tugharimu hapo mbeleni kwa mambo yanavyo kwenda hivi sasa.
Its not about trying Kagame ,Museveni or Uhuru ,its about the billions in lost bussiness we stand to loose by snubbing our neighbors. Thats the bottom line. Tragically the helm sits pretty , lovely unconcerned.
"Business of America is business" - Calvin Coolidge US president.