Kimepunguzwa hadi 500mbHakuna tofauti mkuu, ikifika kiwango flan speed inakata. Ya uhuru ukitumia ikifika mb 700 speed inakata, na ya mwezi ikifiga 3gb kama sikosei speed inakata
Usipate shida ndugu ingia halotel wao hawa cha kupungua speed hutakaa ujute kabisa
Voda speed yao inakera kweli. Nimejaribu line ya smart ni afadhali kuliko voda.
upo eneo gani? unatumia 3g au 4g?
Maeneo ya kunduchi. Natumia 3G