Hii kitanzania asiyeijua ndio ataiona ina akili.Watu mnalaumu TZ, kwani kama mnaona katiba inawaruhusu si muandamane kwa nini msubiri hadi rais awape ruhusa?
Wengi humu ni bendera fuata upepe.subirini waandamane mtakuja na stori tofauti tena ninyi ninyi hawa hawa