Hata kundi la 201 halijasajiliwa lakini linatajwa...au hapo unaona vipi mkuuNdugu wanajf wanaoamini katika uzalendo kwa nchi yetu, ni muda muafaka wa kukataa kuburuzwa na wanasiasa uchwara walioshindwa siasa na kuamua kufanya vitendo vyenye nia ovu kwa mustakabali wa nchi yetu.
Kitendo cha hivi karibuni cha hawa wahuni kwa mwavuli wa Ukawa hakipaswi kufumbiwa macho kwa sababu zifuatazo:
1. Huo umoja ni wa kisanii kwa sababu haujasajiliwa kwa mujibu wa sheria yoyote ile.
2. Wana nia ovu kwa sababu wanaamini kuwa hata wakisababisha maafa hakuna wa kukigusa hicho kikundi kwa kuwa hakipo kisheria.
Otherwise kama kweli wangekuwa na nia nzuri wangejipambanua kupitia vyama vyao.
3. Kujipambanua kuwa wanawatetea wananchi ni unafiki uliopitiliza kwa sababu wananchi wote bado fursa yetu ya kufanya maamuzi juu ya hiyo katiba hatujaitumia na tunawasubiri bmk wamalize kazi yao ili nasi tuifanye ya kwetu.
4. Hakuna mwananchi aliyewatuma kuwatetea kwa sababu nafasi ya kufanya maamuzi bado ipo wakati wa kupiga kura ya maoni.
Ni kutokana na ukweli huo hapo juu, ni wazi kuwa kinachofanywa na ukawa ni uhuni na uhaini kwa kujifanya kuwa wanatetea katiba ya wananchi kumbe wanatetea matumbo yao na maslahi ya mabwano zao wanaowatumikia.
CCM ndio wawakilishi halali wa wananchi. Wengine ni vibaraka na mawakala wa shetaniwahuni ni maccm yanayotaka kubadili maoni ya wananchi kwa ajili ya matumbo yao.
CCM wamegundua kuwa walichoandika akina Warioba hakikutoka kwa wananchi. Ndo maana sasa kazi inafanyika ili tuweze kupata katiba ya wananchiWeww ndio mu.hu.ni kwa sababu unatetea ujinga.
Mbona ccm wanapobadilisha maoni ya wananchi na kubandika ya kwao bila kuwa na tume iliyokusanya maoni hayo huwaiti wahuni.
Tumia akili kufikiri na sio masab......
CCM ndio wawakilishi halali wa wananchi. Wengine ni vibaraka na mawakala wa shetani
CCM wamegundua kuwa walichoandika akina Warioba hakikutoka kwa wananchi. Ndo maana sasa kazi inafanyika ili tuweze kupata katiba ya wananchi
Ni kwa nini wasingesubiri mchakato wa kutengeneza katoba ukamilike ndo wafanye hicho wakifanyacho. Hiki ni kielelezo tosha cha uhuni wao. Wanajuaje kuwa wananchi hawatapinga watapinga katiba itakayowasilishwa kwao.
CCM ndio wawakilishi halali wa wananchi. Wengine ni vibaraka na mawakala wa shetani
Ndugu wanajf wanaoamini katika uzalendo kwa nchi yetu, ni muda muafaka wa kukataa kuburuzwa na wanasiasa uchwara walioshindwa siasa na kuamua kufanya vitendo vyenye nia ovu kwa mustakabali wa nchi yetu.
Kitendo cha hivi karibuni cha hawa wahuni kwa mwavuli wa Ukawa hakipaswi kufumbiwa macho kwa sababu zifuatazo:
1. Huo umoja ni wa kisanii kwa sababu haujasajiliwa kwa mujibu wa sheria yoyote ile.
2. Wana nia ovu kwa sababu wanaamini kuwa hata wakisababisha maafa hakuna wa kukigusa hicho kikundi kwa kuwa hakipo kisheria.
Otherwise kama kweli wangekuwa na nia nzuri wangejipambanua kupitia vyama vyao.
3. Kujipambanua kuwa wanawatetea wananchi ni unafiki uliopitiliza kwa sababu wananchi wote bado fursa yetu ya kufanya maamuzi juu ya hiyo katiba hatujaitumia na tunawasubiri bmk wamalize kazi yao ili nasi tuifanye ya kwetu.
4. Hakuna mwananchi aliyewatuma kuwatetea kwa sababu nafasi ya kufanya maamuzi bado ipo wakati wa kupiga kura ya maoni.
Ni kutokana na ukweli huo hapo juu, wazi kuwa kinachofanywa na ukawa ni uhuni na uhaini kwa kujifanya kuwa wanatetea katiba ya wananchi kumbe wanatetea matumbo yao na maslahi ya mabwano zao wanawatumikia.