Elections 2010 UHUNI wa CCM DSM

friendsofjeykey

Senior Member
Aug 12, 2010
129
13
Naona kata za KARIAKOO watakuwa wanaongoza kwa kufanyiwa uhuni kura za maoni

na natabiri hawa watakuwa wanaongoza kwenye kuzirejesha kadi za CCM

Ya nini kwenda mbai? Tafuteni chimbuko la DR SLAA ndio mtaelewa ilikuwaje kuwaje mpaka akaingia CHADEMA

saa zingine hawa watu ni creations za CCM wenyewe!
 
1.tatizo ni kuwa mtu akishapita kura za maoni hujiona keshapita.....yale ni maoni tu. Unapopewa maoni unaweza kuyakubali au la.
2.kila chama husimamisha mgombea mwenye uwezekano wa kushinda uchaguzi mkuu.wanachama wanaopiga kura za maoni ni sehemu ndogo sana ya wapiga kura wote.hapa chama chochote lazima kiwe makini aidha kuwafurahisha wanachama wachache na kupoteza jimbo au kuwaudhi wanachama wachache na kulichukua jimbo......hayo ni mawazo yangu.
3.kwa mtazamo wangu,chama chochote kina haki ya kubadili uamuzi wa matokeo ya kura za maoni kwa maslahi ya chama.
 
CCM always hawasilkilizi wanachama wake. Hupandikizana na kupigiana debe tu. CHADEMA FOR LIFE
 
Back
Top Bottom