uhuni kwa mjini ni balaa.unaweza uza shamba or nyumba bila kujijua.maana itahitajika kuwalisha na kuwahudumia na kuwafaidisha wenye gesti or hotel hapa mjini,
garama za kawaida, teksi or mafuta ya geri yenu elfu 20,chumba elfu 30, chakula elfu 15, vinywaji vyenu elfu 20,kumtoa demu elfu 20 mpaka 50. hapo ukijumlisha ni laki mbili kasoro sasa kwa wiki ukitoka na mademu wa nne or tatu tofauti, chukua laki 2 * 3 = laki 6, kwa mwezi ni laki 6 * 4 = hiyo ni 2.5 mil ya kutoka tu ndani ya mwezi. bado hujaombwa kumfungulia biashara au umsalidia kulipa kod ya nyumba au kumsaidia fedha za matumizi or kumnunulia gari.
kwa bia kama wapiga bia tatu or nne maana yake ni elfu 6 mpaka 8 ni bajeti ya lak 2.maana yake hata kama unamshahara wa laki 6 unaweza kunywa tatu or nne daily bila kuharibu bajeti yako ya family kama hutakuwa unachanganya na uhuni.