Uhitaji wa pumba ya mahindi

A man with no name

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2017
Posts
1,131
Reaction score
1,598
Habari za muda huu wananzengo nakuja kwenu muda huu nikiwa na uhitaji wa pumba ya mahindi
Sifa za pumba
1= iwe imekauka yaani iwe kavu kabisa
2= iwe na chakula cha kutosha
3= iwe nyeupe isiwe brown au njano
Na kilo nitanunua kwa shilingi 200 na ofa yangu haitazidi 240
Kama kuna mwenye mzigo naomba anifahamishe na mahali mzigo ulipo nahitaji hata tani 30 kama zitapatina
Karibuni wanajamvi
 
Debe la Pumba likajaa vizuri Lina kilo 10.. 10x240=2400 wakati umba zinauzwa 3000 Kwan debe
 
Mkuu pumba hujipangii wewe bei! Ila msimu wa mavuno ndio hucontrol bei ya pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…