richie de king
Member
- Jun 22, 2017
- 8
- 1
Habari za mda huu wadau?. Ninahitaji mbegu ya kuku KUROILER kutoka kwa mfugaji aliepo MWANZA.
Kna mtu anafuga chotara ntakuunganisha nae. Ila izo Kuroiler hanaNina uhitaji kama wako pia. Ukifanikisha usisite kuleta mrejesho. Mie nahitaji jogoo chotara mwenye afya nzuri kwa ajili ya mbegu. Nahitaji na vifaranga 50 chotara, vyote vipatikane Mwanza.!
Asee nami nahitaji kuku Jogoo Chotara Npo mwanzaKna mtu anafuga chotara ntakuunganisha nae. Ila izo Kuroiler hana
Mkuu ntashukuru sana kama utaniunganisha naye, contact zangu ni 0624 060 662Kna mtu anafuga chotara ntakuunganisha nae. Ila izo Kuroiler hana