Greetings wakuu,
Ni maeneo gan kwa Dar ambap nawez pat gunia za mahindi kuanzia 500 or zaid.
Ninayo nipo tegeta mkuuGreetings wakuu,
Ni maeneo gan kwa Dar ambap nawez pat gunia za mahindi kuanzia 500 or zaid.
Dar hakuna shamba lakini vyakula vyote unavyo vijuwa wewe vina limwa nchi hii vipo ni juhudi zako tu kuvitafuta kwenye masoko makubwa.. Kila la heri utapata tu hizo guniaGreetings wakuu,
Ni maeneo gan kwa Dar ambap nawez pat gunia za mahindi kuanzia 500 or zaid.
Ninayo nipo tegeta mkuu
Nipo Masaki, ninazo zaidi ya gunia 1,000Greetings wakuu,