Natafuta Ajira JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 12,199 Reaction score 33,739 Nov 12, 2022 #21 Muddy123 said: Mm nahitaji sana Ndugu...nipe namba nikutafute Click to expand... 0764446574.. naomba unitumie ujumbe
Muddy123 said: Mm nahitaji sana Ndugu...nipe namba nikutafute Click to expand... 0764446574.. naomba unitumie ujumbe
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,700 Reaction score 14,767 Nov 13, 2022 #22 Natafuta Ajira said: Mkuu nipo hapa, ni kijana wa kiume unawaweza ukanisaidia? Click to expand... ofisi zipo huko dar es salam kituo kinaitwa kwa mwinyi, kampuni inaitwa gardaworld unaweza kuja na vyeti vyako original
Natafuta Ajira said: Mkuu nipo hapa, ni kijana wa kiume unawaweza ukanisaidia? Click to expand... ofisi zipo huko dar es salam kituo kinaitwa kwa mwinyi, kampuni inaitwa gardaworld unaweza kuja na vyeti vyako original
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,932 Reaction score 25,245 Nov 13, 2022 #23 hata kujieleza uwezi kazi utapata kweli.? Chini ya mama Samia ajira ni za kumwaga, au ndio mambo ya nyege nyegezi...
hata kujieleza uwezi kazi utapata kweli.? Chini ya mama Samia ajira ni za kumwaga, au ndio mambo ya nyege nyegezi...
Msitari wa pambizo JF-Expert Member Joined Sep 25, 2014 Posts 3,098 Reaction score 5,466 Nov 13, 2022 #24 Naomba unijibu maswali haya kama kweli unahitaji msaada. 1. Course uliyosoma 2. Unapatikana mkoa gani kwa sasa
Naomba unijibu maswali haya kama kweli unahitaji msaada. 1. Course uliyosoma 2. Unapatikana mkoa gani kwa sasa
bolivia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2021 Posts 3,141 Reaction score 5,293 Nov 14, 2022 #25 tashwishwi said: Naomba unijibu maswali haya kama kweli unahitaji msaada. 1. Course uliyosoma 2. Unapatikana mkoa gani kwa sasa Click to expand... Rudi juu soma vzuri
tashwishwi said: Naomba unijibu maswali haya kama kweli unahitaji msaada. 1. Course uliyosoma 2. Unapatikana mkoa gani kwa sasa Click to expand... Rudi juu soma vzuri
bolivia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2021 Posts 3,141 Reaction score 5,293 Nov 14, 2022 #26 JoyJack said: Nipo mkoa wa Mwanza Click to expand... Unaweza kuja dar?...nicheki PM
Msitari wa pambizo JF-Expert Member Joined Sep 25, 2014 Posts 3,098 Reaction score 5,466 Nov 14, 2022 #27 bolivia said: Rudi juu soma vzuri Click to expand... Wew kwenye uzi umeona majibu ya maswali yangu?