Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,126
- 9,593
Hii hali siyo ya kawaida for the national stability.
Mitandao ya kijamii kunawaka moto Kisa utekaji, ubakaji, ufiraji, kupotea Kwa raia, na kubakwa kwa demokrasia Tanzania.
Watanzania wanaanza kuwashambulia Kwa maneno na kuwa unfollow wanaokipigia debe chama tawala. Millard Ayo amepoteza wafuasi laki 3 ndani ya saa12.
Mitandao yoooote ni no reform no election. Hii imepelekea taasisi za serikali na viongozi wakipost mitandaoni wanafunga comment.
Hii hali sijui itaisha vipi na Kuna Kila dalili watanzania wengi watasusia uchaguzi wa mwaka huu.
TUTAKUWEPO