Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,614
Kuna ujambazi ulitokea siku ya Jumamosi ya tarehe 18 May 2013; ambapo tetesi ni kwamba wananchi ndo waliopambana na hao majambazi na kufanikiwa kuwaua wawili na kuwanyanganya siraha.
Nilishangaa niliposikia chombo kimoja cha habari kikitangaza eti polisi ndo walipambana na hao majambazi na kuwaua. Kwa wale walioko Mwanza na zaidi maeneo ya Igoma naomba tupewe ukweli kuhusu sakata hilo.