Kwa hali hii, tutaweza kweli kwenda sambamba na mabadiliko tunayoyalilia kila siku, ikiwa fikra na tabia zetu hazibadiliki?
Huu ni mwendelezo tu wa uharibifu ambao umekuwa ukifanywa ktk maeneo mbalimba. Siku tutakapokuwa na sheria kali zinazotekelezeka pengine tunaweza kutatua tatizo hili.
Tanzania nchi yangu. Watu hatunanidhamu na mali za umma. Watu wanaishi kiujanja ujanja ndio maana wanashindwa kufuata hata sheria kwa kujidai tunaharaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.