Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 741
Kweli mkuu mshua ilibidi ajiulize how come huyu dogo anathubutu kumwambia mama yake vikeHyo ilivuka mipaka ila na mshua nae naona. Kama wivu ulimshika kias...
Ila dah huyo mama ajiangalie aisee maana utani mwengne sio mzur hata kama unampenda mtotoKweli mkuu mshua ilibidi ajiulize how come huyu dogo anathubutu kumwambia mama yake vike
Dah nimecheka sana aisee....isijeikawa hainaga ushemeji wala umaza, dingi kasoma mchezo sio bure....
Mkuu alimpiga na kiti hadi akamtengua mguuiko siku atalala na mama yake nawaambia, mambo huanza kama utani vile. ilaa mm ningekua baba yake ningempga coz ananiona sina kifaa cha maana
Teh teh hawa vijana wa siku hz hawa hata mama akikaa vibaya wanawezakula hawa yaani hawarembiHiyo tu mimi kuna dogo kabisa wa mtaa flani age yake kama miaka mitano hivi sasa mama yak kaumbika balaa sasa mama akipita dogo utasikia, "mama kuda kuda kuda" na mama anatingishwa kama twanga pepeta yaani makusudi
wa mama wengine bwana ni shida tupu
Kweli mkuu hata dingi mwenyewe alishangaa huu utani ni wa namna gani ndiposa akaamua kumpa dogo kichapo hadi akamtengua mguu....isijeikawa hainaga ushemeji wala umaza, dingi kasoma mchezo sio bure....
Ni kweli haya mambo ya utani kati ya mama na mtoto yapo ila wakati mwingine umakini unahitajikaMama angu ndie alikua rafiki yangu mkuu.
hata mimi nilikua namatania mama namwambia mama ulivyo mrembo na nilivyohandsome isingechomoa kwangu,
mama anacheka anasema umekua Handome bcoz of me. mama alivyotangulia mbeleza haki dada zangu ndio watani zangu.
huyo mdingi hajielewi
Ni kweli kabisa utani kati ya mzazi na mtoto haukatazwi lakini ni lazima uwe na mipaka na sio kwa vile ni utani basi muanze kuongea vitu visivyo na maadiliHana adabu huyo mtoto na mama yake......utani na mzazi unatakiwa uwe na vigezo vya heshima......hawa mama wa siku hizi bure kabisa......yaani wanashindwa kabisa kutetea taji la heshima.....!
[emoji23][emoji23][emoji23] duh!....isijeikawa hainaga ushemeji wala umaza, dingi kasoma mchezo sio bure....