Napenda kuwataarifu kuwa nimerudi tena katika kundi letu. Naomba tuendelee kuzingatia lengo letu kuu la uhamisho.
Aidha, natafuta mwalimu wa kubadilishana vituo vya kazi aje KONDOA DC Mimi nije katika idara ya elimu ya msingi, hususan katika wilaya za Morogoro:🔴 GAIRO🔴 KILOSA🔴 MOROGORO MANISPAA🔴 MVOMERO
Iwapo kuna tangazo lolote linalohusiana na uhamisho au anayehitaji kubadilishana kituo, tafadhali wasiliana nami kwa njia ya inbox ili niweze kulitangaza kwa utaratibu unaofaa.