DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,976
- 3,127
Kama kunajambo linalo waumiza watumishi hasa walimu ni jambo la uhamisho wa mtumishi kutoka wilaya moja kwenda nyingie au kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine kwa sababu mbalimbali ikiwemo kufuata wenza wao.
Swala hili limekuwa ni jipu kwa njia zote halali na halamu kwani zoezi hilo limekuwa na urasimu na mizengwe mingi!
1. Njia halali.
Njia halali ni zile zilizowekwa kikanuni na kisheria kwa mtumishi wa serikali kuhama. Njia hizi pia ndani yake kumeibuka uizi na usumbufu usio wa lazima unaolenga kuwaibia walimu, kwa mfano, ma afisa elimu vikwazo kibao, Ma DED nao vikwazo vingi funga kazi kwenye kupata kibari cha uhamisho watakuzungusha sababu kibao kumbe tu wanataka chochote.
pia kuna wale wanaojifanya ni walimu wanaotaka kuhama toka wilaya moja kwenda nyingine kwa njia ya kubadilishana hivyo hubandika matangazo ukiwapigia simu watakwambia wamekamilisha zoezi but wapo tayari kukusaidia hapo ujue umeliwa.
2. Njia zisizo halali
Hizi ni njia ambazo walimu huaminishwa kuwa endapo wataweza kulipa kiasi fulani cha pesa watasaidiwa kuhama kwa uharaka kwa kupitia watumishi walio TAMISEMI, hapa watumishi/walimu wameliwa sana pesa sana.
Ushauri:
Ewe mtumishi yapasa kupitia njia zilizo halali za kupata uhamiaho, pia mamlaka husika zijaribu kuondoa urasimu ili kuziba mianya ya rushwa kwa watendaji wasio waaminifu.
Hili jambo ni serious sana watu wengi wametapeliwa na wengine hata wametoa rushwa za ngono. Chukua tahadhari!