REJESHO HURU JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 5,283 Reaction score 11,558 Jul 4, 2015 #1 Habari zenu wadau wa jukwaa la elimu Naomba kuuliza wenye taarifa juu ya hivi vibali vya uhamisho toka Tamisemi kwa watumishi wa umma huwa lini unatoka maana June imepita bado kimya. Wenye uelewa asaidie tupate mwanga
Habari zenu wadau wa jukwaa la elimu Naomba kuuliza wenye taarifa juu ya hivi vibali vya uhamisho toka Tamisemi kwa watumishi wa umma huwa lini unatoka maana June imepita bado kimya. Wenye uelewa asaidie tupate mwanga
Peace92 JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 261 Reaction score 58 Jul 7, 2015 #3 Boerzy Mwaba said: cjui lin mkuu Click to expand... huwa ni wiki ya pili ya mwezi wa saba mm mwenyew nasubiria
Boerzy Mwaba said: cjui lin mkuu Click to expand... huwa ni wiki ya pili ya mwezi wa saba mm mwenyew nasubiria
CPD BOY Member Joined Jan 1, 2016 Posts 12 Reaction score 0 Jan 3, 2016 #4 Uhamisho Wa january 2016 lini