Uhamisho wa kituo Wizara ya Afya

Uhamisho wa kituo Wizara ya Afya

Mwanaharakati2013

Senior Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
170
Reaction score
15
Habari wakuu.

Naomba mwenye kujua utaratibu wa kufuatilia uhamisho wizara ya afya anijfahamishe. Je ni nani anayehusika pale ninayepaswa kumwona?

Plz mwenye uelewa naomba unisaidie ili nishughulikie tatizo langu hili.
 
Kama uko wilayani unaandika kwa ded kupitia kwa dmo, kama mkoa kwa rac kupitia kwa rmo, then inatumwa tamisemi kama una refa kule unamyumia

Bado sijaripoti. Ninataka kujua nitatumia utaratibu gani pale wizarani na nani nimwone
 
Okey mimi nakushauri nenda karipoti kwanza halafu fanya process ukiwa huko. Maana ninavyojua mimi ni kwamba wizara ikishakupangia mamlaka juu ya mtumishi huyo inabakia kwa halmashauri husika.
 
Okey mimi nakushauri nenda karipoti kwanza halafu fanya process ukiwa huko. Maana ninavyojua mimi ni kwamba wizara ikishakupangia mamlaka juu ya mtumishi huyo inabakia kwa halmashauri husika.

Asante mkuu tatizo ni kuwa nipo napiga shule. Je nifanye utaratibu gani? Ili wanihamishe kituo au wanipe muda nimalize chuo kwanza.
 
Mlioko wizara ya afya naombeni wanaohusika, nitafurahi nikipata majina ili nijue pa kuanzia.
 
Habari wakuu.

Naomba mwenye kujua utaratibu wa kufuatilia uhamisho wizara ya afya anijfahamishe. Je ni nani anayehusika pale ninayepaswa kumwona?

Plz mwenye uelewa naomba unisaidie ili nishughulikie tatizo langu hili.

chief nlishakushaur nenda wizara uongee na watu ww ni ajira mpya na bado hujareport mbona hlo linawezekana bosi wangu,afisa utumishi atakuelewa tu na utapewa barua nyingine fasta,usiwe muoga bosi wangu.
 
Thanks mkuu Nataka jumatatu nianzie huko asubuhi. Unaweza nisaidia jina lake ili iwe rahisi kiongozi. Asante sana
 
Sasa wagonjwa kule ulikopangiwa itakuwaje? inaweza kuwa kwetu aisee lakini acha na wengine wajionee
 
kitu kama ulishakuja hapa kuomba ushauri na ulipewa, nafikiri ni wakati wa kuleta mrejesho, kama umekwama au vipi, na ukiona hali tete chagua 1.
 
Kwanza umepangiwa wapi na unataka kuhamia wapi, funguka tukushauri
 
Back
Top Bottom