MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
Nimeumia sana kuona barua za kuomba nafasi za ndugu yangu anayeumwa kifafa anaambiwa asubiri uhamisho uruhusiwe,sasa mtu kama huyu anakàaje mbali nafamilia? Hili jambo limenitoa machozi,lkn Mungu yupo!!