Waungwana habari.
Kama kichwa cha habari kilivyowazi hapo juu.kitaaluma mimi ni mwalimu wa shule ya msingi japo nimefanikiwa ku upgrade Elimu yangu kwa level ya bachelor. Mazingira ya mwalimu kuhama kwa sasa ni magumu sana.
Waliokwisha kufanikiwa kuhama tunaomba tuwe tunasaidiana njia mlizopita ukiachilia mbali njia ya kubadilishana ambayo ni ngumu sana kwa mikoa kama Kigoma, Lindi, Mtwara na Mara.
Binafsi sijawahi kuomba kuhama lakini kwa mwaka 2021 nimepanga hilo jambo litimie na kama litashindikana basi niandike barua ya kuacha kazi au niache tu bila kuandika barua nikapambane upya sehemu nyingine bila hivyo umri unakwenda hakuna cha maana kilichofanyika.