Uhamisho huu ni halali kwa mtumishi?

Uhamisho huu ni halali kwa mtumishi?

kambwaja

Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
36
Reaction score
14
Salaaam wana Jf,,,mm ni mtumishi serikalini idara ya Elimu(mwalimu),Nimekumbwa na swaibu la kuhamishwa kituo changu kipya ,Ambapo katika kituo hiki niliamia kutoka wilaya ya Ifakara nakuja wilaya hii ya kilolo,
Niliamia wilaya hii tarehe 12/11/2017,nakuendelea kufundisha na kufanya majukum mengine kama mwalim,Ajabu leo tarehe2/12/2018,nimepewa barua ya kwenda kufungua shule mpya itakayoanza mwei january 2019 Km 120 kutoka hapa kwa sababu nisizozifahamu
Lakini baada ya kuuliza hapa na pale kwa watumishi wenzangu (SMT) nilijulishwa kuwa mkuu wa shule alipewa barua toka wilayani iliyomtaka achague walimu ambao wangeenda kuanzisha shule ,mkuu aliamua kunitoa mm eti kwa sababu hariziswi na utendaji kazi wangu
Hivo wana jf ,naombeni msaada wenu kimawazo na kisheria za utumishi kwamba nifanyeje hapa ikiwa kama nimetoka kuhamia wilaya ndani ya mwaka huu na pia ni mtumishi niliyeajriwa mwaka 2015,, nawezaje nikawa na uzoefu wa kuanzisha shule ndani ya miaka hii mitatu kazini...................Ahasanteni
 
Kamanda wewe ni mtumishi serikalini idara ya Elimu(mwalimu) alafu hujui kuandika! Ila nikupe pole tu kwa yaliyokupata....
 
Nenda kapige kazi mkuu baada ya muda utazoea na kuona kawaida tu. Ilimradi wakulipe haki zako.
 
We hama tu...maana hakuna namna.
Self employment = primitive communalism
Government employment= feudalism
Private sector employment= slavery
If you employ people = capitalism
 
We mkuu nenda tu, Mie nadhani soon utakuwa mwalimu mkuu.
 
Sio utani, naomba jifunze kuandika vizuri, panga uandishi wako kwa haya na vituo. Typing error ni kitu cha kawaida ila jitahidi kuweka mtililiko mzuri wa habari yako.

Kuhusu kuhamishwa kwako ni jambo la kawaida tu, la msingi ni kuhakikisha unalipwa stahiki zako zote kama nauli, Mizigo na usumbufu.

Pia jitahidi kuonyesha nidhamu ya hali ya juu kazini na kuwa na utendaji kazi wenye kuleta ufanisi, ni ajabu sana ndani ya kipindi kifupi mkuu ameshakuchoka, ushaonekana wewe ni mzigo hapo, huna faida kwa hio shule.

Pole sana kiongozi ila ndo maisha ya utumishi hayo, tekeleza majukumu yako vizuri na mtangulize Mungu mbele. Kazi njema kwenye kituo chako kipya.
 
Haya mwalim "Halari" ni nini kwanza
 
Watu tunakesha tukiomba kazi wengine wanahoji uhamisho: less speed more haste!
 
Wewe shukuru Mungu umehamishwa.ILIKUWA UFUKUZWE KABISA MAANA HATA KUANDIKA HALALI HUJUI. maombi ya wazazi wako yamesaidia umehamishwa badala ya kufukuzwa bado huna shukrani? Na unafundisha somo gani hujui Hata Kiswahili ?

Back
Top Bottom