Uhamiaji yatoa shortlist ya usahili.

Uhamiaji yatoa shortlist ya usahili.

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
408
Reaction score
182
Kwa waliomba kazi idara ya uhamiaji mwaka huu wametoa shortlist katika gazeti la mwananchi la jana tarehe 6/5/13 kwa aliyeomba hakikisha unalipata gazeti hili kujua kama umeitwa kwenye usahili.
 
tusaidie majina gazeti halionekani mdau cku zote huwa mnascan mnapost
 
ndugu zangu tusaidiane kutuwekea majina ya waliochaguliwa,gazeti halipatikani wengne tupo mbal,sote tunahangaika tusaidianeeeeeeee watz
 
wametoa majina ishini na kitu tu kila nafi ina reserve wachache]
 
Back
Top Bottom