WASIKUUMIZE KICHWA HAYA NDIO MAJIBU
Swali: Alikuwa wapi siku zote asipande daladala?
Jibu: Alikuwa CCM
Swali: Kwa nini siku zote asinywe chai kwa mama ntilie?
Jibu: Njaa haikumwuma.
Swali: Tutampaje urais mtu anaumwa?
Jibu: Kama watu hawatakiwi kuugua hospitali zimejengwa kwa kazi gani?
Swali: Mtu mwenyewe si amekuja kwa sababu anataka tu urais?
Jibu: Ulitaka aje anapotaka urefarii wa Simba na Yanga?
Swali: Kwa nini amegonjea akatwe ndo aje?
Jibu: Wewe huwa ukikosa kazi mahali huwa unajifungia chumbani na mpenzi wako ama unatafuta kazi kwingine?
Swali: Kwa hiyo nawe utakwenda Jangwani?
Jibu: Nisipoenda mimi mawe yatakwenda.
LOWASAAAAAAAAAAAA!
Miaka mitano alikuwa meya na diwani na muda wote huu alikuwa mtanzania.Leo anagombea ubunge eti raia wa Kenya.Ujinga mwingine haufai hata kufikiriwa.
Ndo Yale yale ya Bashe alikuwa sio raia wa Tanzania ila sahivi ni raia.
WASIKUUMIZE KICHWA HAYA NDIO MAJIBU
Swali: Alikuwa wapi siku zote asipande daladala?
Jibu: Alikuwa CCM
Swali: Kwa nini siku zote asinywe chai kwa mama ntilie?
Jibu: Njaa haikumwuma.
Swali: Tutampaje urais mtu anaumwa?
Jibu: Kama watu hawatakiwi kuugua hospitali zimejengwa kwa kazi gani?
Swali: Mtu mwenyewe si amekuja kwa sababu anataka tu urais?
Jibu: Ulitaka aje anapotaka urefarii wa Simba na Yanga?
Swali: Kwa nini amegonjea akatwe ndo aje?
Jibu: Wewe huwa ukikosa kazi mahali huwa unajifungia chumbani na mpenzi wako ama unatafuta kazi kwingine?
Swali: Kwa hiyo nawe utakwenda Jangwani?
Jibu: Nisipoenda mimi mawe yatakwenda.
LOWASAAAAAAAAAAAA!
mafisiem mmelaaniwa
Wenje ni Onyango Kenya hiyo.hata Ezekiel Wenje aliambiwa ni mkenya lakin kumbe muraaa yaani nchi hii bana
mkapa msumbiji
mkulo mmalawi
idd simba mrundi
dr salim. mwarabu
bashe. msomali
ila kina
dewji
manji
harun suleiman
mohamed raza
jitu son
rostam aziz
hasnain murji
sadiq murad
(ndio watanzania)
Katika hili japo mi CCM damu lakini Huyu ni raia maana ni Ndugu yangu!
Wenje ni Onyango Kenya hiyo.