Ndugu mi nadhani kuanzia mwezi ujao mzigo utakuwa mezani, coz ndani ya wizara hiyo si bado wanaendelea na usaili wa zimamoto kwanza, ukiisha nadhani ni zamu ya uhamiaji sasa.
tukilia sana tutakufuru. tunaambiwa mpaka sasa sijui kuna application 5000 wakati nafasi ziko 270, tena hapo bado kuna watu wana watu wao, tusubiri tuone matokeo!