Uhamiaji vipi?

Uhamiaji vipi?

Kaka mbona mapema sana? Subiri huu mwezi ukipita ndo uulizie,bt cha msingi,uwe mwepesi wa kutembelea huu ukurasa,kila siku.
 
Ndugu mi nadhani kuanzia mwezi ujao mzigo utakuwa mezani, coz ndani ya wizara hiyo si bado wanaendelea na usaili wa zimamoto kwanza, ukiisha nadhani ni zamu ya uhamiaji sasa.
 
Amen mkuu! wakati mwingine ni vema kujitia moyo....
hatuna jinsi mkuu..

tukilia sana tutakufuru. tunaambiwa mpaka sasa sijui kuna application 5000 wakati nafasi ziko 270, tena hapo bado kuna watu wana watu wao, tusubiri tuone matokeo!
 
hatuna jinsi mkuu..

tukilia sana tutakufuru. tunaambiwa mpaka sasa sijui kuna application 5000 wakati nafasi ziko 270, tena hapo bado kuna watu wana watu wao, tusubiri tuone matokeo!

hahaa duh, katika 270, za ukweli ni 100. haya tafuta probability hapo: 100/5000
 
hahaa duh, katika 270, za ukweli ni 100. haya tafuta probability hapo: 100/5000

mkuu inaniuma sana unajua eenh, mi nikiangalia huko sina hata mfagiaji anaenijua... namuomba tu MUNGU kimya kimya!

sijui tutumie njia gani kupata kazi sie wenye vigezo halafu tunatupwa kapuni kisa hatujulikani kwa wakubwa.

btw, tushukuru kwa uzima..
 
hata wakaguzi wasaidizi jeshin kunawahusu?wakati huo mnalipwa mshahara kama waajiriwa?nauliza tu wakuu
 
Back
Top Bottom