Uhamiaji vipi jamani?

Uhamiaji vipi jamani?

EMALON MMARY

New Member
Joined
May 5, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Wadau naomba kuuliza kuwa wale tulioomba nafasi za uhamiaji, nani anataarifa kuwa wanatoa lini majibu???
 
hawa jamaa 2mexubil mweshowe 2sichaguliwe!ngoja2 inaumiza matumbo yetu jaman uhamiaji duu!!!!
 
Msijali tulikuwa tunangoja bajeti ya wizara yetu, kwani kulikuwa na upungufu wa pesa hvo tuko katika hatua za mwisho kuanda majina yetu, kila mmoja ana nafasi sawa ya kupata kazi kwani mwaka huu hatujapata vimemo kutoka kwa vigogo. Nawashukuru naombeni muendelee na kilimo huko mliko
 
WASHAANZA KUPIGA SIMU !! KUNA WATU TAYARI WASHAFANYIWA INTERVIEW NA WENGINE WANAENDELEA WE SUBIRI TU !!! MAMBO KIMYA KIMYA !! niko amana wadau dengue nomaaa sana niombeeni
 
WASHAANZA KUPIGA SIMU !! KUNA WATU TAYARI WASHAFANYIWA INTERVIEW NA WENGINE WANAENDELEA WE SUBIRI TU !!! MAMBO KIMYA KIMYA !! niko amana wadau dengue nomaaa sana niombeeni

we umezaliwa ni mgonjwa hvyo hatushangai..
 
Hii ndo tanzania na serikali yetu kama una wa kukushika mkono ndo basi tena izo nafasi washapeana ata kama watatoa majina itakuwa geresha tu so fanaya mipango mingine
 
Mnasubirii afu mwishowe yatoke hampo tafuteni na sehemu nyingine kama huna baba waziri msikae mkiuliza sana jamani mtakuja pata mishtuko ya moyo buree majibu yakitokaaa
 
cha msingi tusiilaumu serekal kwa sababu kila kitu kinaenda kulingana na mipango waliojiwekea. yawezekana bado siku ya kutoa hayo majina haijafika kwa hyo tuwe na subira ndugu zangu tuiamin serekal yetu tusiwe na jazba kwa mambo ambayo tunayajua yanatekelezwa kulingana na mipango.
 
Back
Top Bottom