UHamiaji Uhamiaji ....mpya wadau

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
Jamani mimi ni nauliza hivi wale waliochagulia kujiunga na idara ya uhamiaji vp washaenda depo ..
 
Jamani mimi ni nauliza hivi wale waliochagulia kujiunga na idara ya uhamiaji vp washaenda depo ..

Waliingia depo CCP pamoja na polisi na wamehitimu pamoja na hawa polisi walioajiriwa 26/07/2013. Futa hii link usome www.wavuti.com/4/post/2013/07/askari-wapya-wahitimu-mafunzo-ccp-moshi.html
 
Interview ilikua mwezi wa tano naona mdau si depo hiyo kk au siku dep mwezi mmoja
 
Brother watchout your title...
 
Jitahidi kufanya masahihisho ya kichwa
cha habari ili usiwakwaze watu Mkuu
hasa unasema"UHAMIAJI MPYA"

Watu wengi wanajua ni nafasi mpya
zimetangazwa sasa hivi.
 
umeniharibia mood asubuh sana na title yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…