Nafikiri uhamiaji wanatumbua majipu mengine ambayo siyo majipu, hivi hapo sheria inasema je kwa wanasheria?
Uhamiaji wanawataka watu ambao ni dependant of Tanzanian walipe working permit ya dola zaidi ya $3000. Hii sio sawa. Na kinyume chake sasa imekuwa mzigo kwa familia nyingi akina mama na akina baba ambao ni dependant kwa Mtanzania wengi wamekuwa wa nyumbani hawafanyi kazi. Hii na fikri ni kinyume cha haki ya misingi ya familia.
Naamini ingekuwa sahihi mtu anayeoa na kuolewa na mtanzania kwa mjibu wa taratibu za sheria aruhusiwe kufanya kazi kama Mtanzania bila working permit. Huyu mzazi kimsingi anajishughurisha kuitunza familia ambayo watoto wake ni watanzania.
Pili, fikria ana watoto wake 5 ana mume/mke wamejenga nyumba ana shamba na kondoo wachache na ametoka kwao miaka 15 na anaishi Tanzania, na ikitokea bahati mbaya mtanzania mweza wake akafariki inamaana arudi kwao akaanze upya je ataweza kumudu familia yake ya watoto hawa watanzania 5 huko kwao ambako hana msingi tayari. Je ataweza kumudu hii familia ya watanzania hapa Tanzania bila kufanya kazi kwa vile hana hela ya kununulia working permit? Hii sheria kama ipo yapaswa kuangaliwa upya.

Last edited: