enery
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 368
- 437
Immigration mlioko Martin Luther School Dodoma muda huu mnachokitafuta hamuwezi kukipata hapo ndani hao wageni wote washakimbizwa na kufichwa.
Cha msingi humo ndani kila kona kuna simu ya landline, hivyo movement zenu zote mnazofanya zinajulika na wanafichwa.
Tafuteni time table ina majina yote ya walimu wanaofundisha au ulizeni wanafunzi, walimu wageni ni wakina nani. Au kasomeni time table ya bweni maana hao wageni wote ni bweni.
Huo mtindo mtumiao hamuwezi kupata mtu na mtaondoka watupu hapo