Uhamiaji mliokwenda kufanya ukaguzi shule ya Martin Luther jijini Dodoma muda huu mmestukiwa, hamtafanikiwa ukaguzi wenu

Mkuu unakwama wapi!?
Ukiona watu wanajificha na hawataki wajulikane unashindwa vp kugundua kama ni wahalifu!?
Wanavunja sheria, wanakwepa kodi, walimu wanaowatumia kufundisha watoto wetu, hatuna taarifa zao, hawalipi michango yao bima/pension nk.

"Mi nafikiri ni wakati muhimu sasa kuangalia ikiwezekana waajiri kama hawa washtakiwe kwa sheria yetu ya utakatishaji pesa"
Walimu acheni majungu.kiingereza hamjui mnawachongea walimu wenzenu wa nje wasifundishe.Hivi bila kiingereza kijana atafanya kitu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Redmi Y2
 
kama wameenda hapo kama ng'ombe bila hata kuomba attendance Register ya walimu wote wa leo basi hawakamati mtu wala kuku leo.
 
enery,
Umeamua kuwachomaa aisee hao wabongoo ni bure kabisa

Kingine uhamiaji wakishafika wanakutana na kilichomuuza Yesu nakwambia mnaonekana ovyo
 
Mnafikrii uhamiaji awawajuiii kuwaonyesha hata kuwambia hayo mnaonekana maboya

Pale afrikasana kuna shell pembeni kuna gorofa pale uchafu wa wachina wote uko pale. Mlinzi mmalawi. Hio ni syatyer mwanaukome ili ukiingiaa pale sijui imiig iiimga wanakwambia subiri kwanza wanapiga kwa boss wao mnaishia pale getini na genye zenu kama wewe uhamiaji kajaribu

Kwingine nitakwambia siku ukiacha
 
Acheni waafrika wenzenu watafute ridhiki, mbona mna wivu wa kijinga sana!!! Yaani kazi ya ualimu na yenyewe ni ya kuoneana wivu???

Ualimu ni huduma tu kwa jamii, huwezi kuwa milionea kwa kuwa mwalimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe natamani mwanangu afundishwe na mwalimu wakigeni anae mudu kiingereza vizuri ili asije akawa kama waziri wa elimu hasio jua hata simple English pamoja na kua na phd 'shame upon you Ndalichako'.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hao waswahili wakisalimia kipi kinaongezeka kwao.. Afrika bana
Niaminivyo wanajamii wa mahalia husika (mjini/vijijini etc) huwa wanataarifa husika, cha msingi ni namna gani unashirikiana nao kuzipataaa

Mtaani huwa kuna vijana wamekaa tuu wanacheka na kupiga zao storiii...unapita mbio ata salamu akuna...hahaa siku ya siku likitokea la kutokea wanakwambia uwe unasalimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mwenyewe natamani mwanangu afundishwe na mwalimu wakigeni anae mudu kiingereza vizuri ili asije akawa kama waziri wa elimu hasio jua hata simple English pamoja na kua na phd 'shame upon you Ndalichako'.......

Sent using Jamii Forums mobile app
HUyu ANAONEKANA ANATOKA UKOOO WA WALIMU WALIOSOMA NA WENGI WAKO.MAJUMBANI UKIONA HIVI SI HABA MPWAA NASHAURI MUNGU AZIDI KUONGEZA AJIRA ZA WALIMU TUPUNGUZE HII MAMBOO
 
HUyu ANAONEKANA ANATOKA UKOOO WA WALIMU WALIOSOMA NA WENGI WAKO.MAJUMBANI UKIONA HIVI SI HABA MPWAA NASHAURI MUNGU AZIDI KUONGEZA AJIRA ZA WALIMU TUPUNGUZE HII MAMBOO
Mkuu suala kuu sio ajira ya ualimu, je waalimu wetu wana uwezo wa kumudu wa lichosoma nakukifundisha ipasavyo kwa watoto wetu, jiulize kwanini tatizo la waalimu wakigeni liko Tz sio ug au ky mfumo wa elimu yetu inabidi uangaliwe upya ni mbovu kabisa, imagine mualimu inahitum shahada ila ukimsikiliza kiingereza chake ni 'shake before you use..........wakati mtihani yote katumia lugha hiyo hiyo duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kuu ni hizo Idara za Wizara ya Mambo ya Ndani, sio kwamba huku mtaani hatuwajui ama wao hawajui, tatizo kubwa Uzandiki mkubwa wa Maafisa hawa, ndio maana tunaona bora tujikalie kimya tu.
 
Mkuu suala kuu sio ajira ya ualimu, je waalimu wetu wana uwezo wa kumudu wa lichosoma nakukifundisha ipasavyo kwa watoto wetu, jiulize kwanini tatizo la waalimu wakigeni liko Tz sio ug au ky mfumo wa elimu yetu inabidi uangaliwe upya ni mbovu kabisa, imagine mualimu inahitum shahada ila ukimsikiliza kiingereza chake ni 'shake before you use..........wakati mtihani yote katumia lugha hiyo hiyo duh

Sent using Jamii Forums mobile app
SMAHANI KAMA NIMEKOSEA NENDA
KENYA KUNA WALIMU WAKIGANDA SHULENI

NENDA UGANDA KUNA WALIMU WA KENYA MASHULENI MKUU

HIZO N SEHEMU ZANGU ZA KAZI..JAMAA WAKO VIZURI UWEZI FANANISHA NA WETU
 
Back
Top Bottom