Uhamiaji mliokwenda kufanya ukaguzi shule ya Martin Luther jijini Dodoma muda huu mmestukiwa, hamtafanikiwa ukaguzi wenu

enery

JF-Expert Member
Aug 21, 2015
368
437
Immigration mlioko Martin Luther School Dodoma muda huu mnachokitafuta hamuwezi kukipata hapo ndani hao wageni wote washakimbizwa na kufichwa.

Cha msingi humo ndani kila kona kuna simu ya landline, hivyo movement zenu zote mnazofanya zinajulika na wanafichwa.

Tafuteni time table ina majina yote ya walimu wanaofundisha au ulizeni wanafunzi, walimu wageni ni wakina nani. Au kasomeni time table ya bweni maana hao wageni wote ni bweni.

Huo mtindo mtumiao hamuwezi kupata mtu na mtaondoka watupu hapo
 
Niaminivyo wanajamii wa mahalia husika (mjini/vijijini etc) huwa wanataarifa husika, cha msingi ni namna gani unashirikiana nao kuzipataaa

Mtaani huwa kuna vijana wamekaa tuu wanacheka na kupiga zao storiii...unapita mbio ata salamu akuna...hahaa siku ya siku likitokea la kutokea wanakwambia uwe unasalimia
 
Tatizo muda huu wapo field na sidhani kama kuna mmoja atafungua jf ili wafanikishe wazo lako na wakiondoka hao hao walimu watasoma hii thread na kubuni mbinu mpya ya kuserve.
 
Hatuwezi kuacha ajira za nyumbani kwetu zichukuliwe kirahisi na wageni.
Lakini kama ni lazima, walipie vibali vya kazi ili tuambulie japo kodi yake tu"

Wanachokifanya ni kutuibia" ukinywa maji vzri utagundua ni majizi!
Ni lazima uhamiaji wawashuhulikie kwelikweli! Wafuate sheria zetu, waache kutuibia!"
Acheni waafrika wenzenu watafute ridhiki, mbona mna wivu wa kijinga sana!!! Yaani kazi ya ualimu na yenyewe ni ya kuoneana wivu???

Ualimu ni huduma tu kwa jamii, huwezi kuwa milionea kwa kuwa mwalimu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Redmi Y2
 
Back
Top Bottom