mdalla 1 Senior Member Joined Aug 11, 2014 Posts 120 Reaction score 20 Aug 14, 2014 #1 Ndugu nimesikia tume ilioundwa kuchunguza madai imeongezewa muda baada ya siku kumi kumalizika ikiwa bado haijakamilisha uchunguzi wake Je? tume hii imeongezewa siku ngapi? kwa anayejua tafadhari
Ndugu nimesikia tume ilioundwa kuchunguza madai imeongezewa muda baada ya siku kumi kumalizika ikiwa bado haijakamilisha uchunguzi wake Je? tume hii imeongezewa siku ngapi? kwa anayejua tafadhari
mgonjwa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 514 Reaction score 223 Aug 14, 2014 #2 Muda aujulikani ndugu but hatazidi zile siku kumi
mdalla 1 Senior Member Joined Aug 11, 2014 Posts 120 Reaction score 20 Aug 14, 2014 Thread starter #3 mgonjwa said: Muda aujulikani ndugu but hatazidi zile siku kumi Click to expand... owky nimekusoma mkuu
mgonjwa said: Muda aujulikani ndugu but hatazidi zile siku kumi Click to expand... owky nimekusoma mkuu
C CT SCan Mchina JF-Expert Member Joined Mar 13, 2013 Posts 1,311 Reaction score 289 Aug 15, 2014 #4 ...labda wanawasubiri wachunguzi kutoka nje ya nchi.
mapengo junior JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,135 Reaction score 276 Aug 15, 2014 #5 tangazo lenyenwe la kizushi...muda ukiongezwa kawaida huweka wazi zimeongezwa siku ngapi???toka lini mpaka lini??
tangazo lenyenwe la kizushi...muda ukiongezwa kawaida huweka wazi zimeongezwa siku ngapi???toka lini mpaka lini??
mdalla 1 Senior Member Joined Aug 11, 2014 Posts 120 Reaction score 20 Aug 15, 2014 Thread starter #6 mapengo junior said: tangazo lenyenwe la kizushi...muda ukiongezwa kawaida huweka wazi zimeongezwa siku ngapi???toka lini mpaka lini?? Click to expand... Tanzania yetu bwnaa!
mapengo junior said: tangazo lenyenwe la kizushi...muda ukiongezwa kawaida huweka wazi zimeongezwa siku ngapi???toka lini mpaka lini?? Click to expand... Tanzania yetu bwnaa!