MAKOSHNELI
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 932
- 1,576
- Thread starter
-
- #361
nashukuru kusikia hivyo mkuu kuna mambo mengi sana yapo nyuma ya pazia napia njia/akili/kazi/ za mwanadamu kamwe haziwezi kufanana na MUNGU,ndio maana hadi shetani kile kipindi cha YESU hakujua dhana ya Mungu kumleta Yesu duniani akafanya hila kumuua pale msalabani akidhani kamkomesha kumbe kufanya vile ndio ulimwengu woote ukakombolewa!laiti kama angelijua matokeo yake asinge msulubisha pale msalabani! kuna mifano mingi sana ya ajabu ya namna Mungu anavyofanyaga mambo yake na kati ya hiyo mifano yoote huwaga haiko "straightforward"umenifungua sana akili
Man i gotta give u thum-up,shukran mnokuhusu weusi,ukifuata history itakwambia kuna kipindi Cush empire ilijipanua mpaka misri hadi caanan,
wacush ni weusi,that is why,damu zikaingiliana.
Kuhusu huwezi faidika na kitu ukiwaunga mkono wapalestina,kwani kwa hawa wazungu wa israel unafaidika nini mkuu?,
netanyau kaja africa juzi hajaacha hata kitu cha kuonyesha atawafaidisha nini.
Heri wapalestina kipindi cha mapambano ya makaburu walikuwa na mchango wa katika mapambano.
Ukiona wayahudi wanakuletea msaada ujue kuna interest zao hapo zimejificha.
Kama sikosei kwa mjibu wa bible alieambiwa ,atakaekulaani nami nitamlaani,ni Abraham.
Abraham ni baba wa mataifa mengi sio israel pekee,
abrahamu hakuwa myahudi,
wayahudi ni watu cunning,wakayageuza maandiko,na kuiba baraka za Mungu kwa abrahamu ili ionekane wao ndo walibarikiwa.
Yaani kama yakobo alivyomtapeli babake isaka na kupora baraka za Esau,wana wa jacobo,yaani waisrael wakajiporea baraka zoooote za Mungu kwa abrahamu ziwe zao pekee,
wakayaspin maandiko na kujianzishia mungu wa taifa lao pekee,Hao ndio wayahudi wamejaa hila kuliko binadamu yeyote.
Wanatukuza kipande cha ardhi kuliko wanavyomtukuza mungu,kwasababu mungu wao anahusianishwa na mambo ya ardhi
Hujui lolote, Escape from Sobibo ni concentration camp, wale wayahudi walikuwa wanaishi kule na hawakuwa utumwani, hata wale wayahudi Warusia waliokamatwa mateka na kupelekwa camp walikuwa ni wanajeshi wa jeshi la Urusi.Mkuu, una uelewa mdogo mno wa Biblia. Unazungumzia kuhusu wao kumkataa Yesu na baadae unazungumzia kuhusu Nabii wa kuwarudisha nyumbani kwamba hajatokea? Hivi ulitaka Mungu afanye mambo kiagano la kale ilihali sasa tupo kwenye agano jipya!? Remember Wayahudi (waisraeli) walimkataa Yesu kwamba sio Masihi kwa vigezo kama 2 hivi; kwanza walisema hakuna kitu cha maana kitatoka Nazarethi na pia walimkataa Yesu kwakua maandiko yanasema kabla masihi hajaja lazima Elia aje kwanza but je Mungu alipingana na ahadi zake? La hasha, Yesu aliitwa Mnazarethi si kwasababu alikua mzaliwa wa kule bali alikulia tu huko, yeye alizaliwa Bethrehem kama ahadi ya Mungu ilivyo kua kwao but chenga ya mwili kwao Wayahudi ilitokana kule kuondoka mji huo wa Daudi hadi Misri na aliporudi from Misri alienda huko Nazareth na kuhusu Elia, Mungu aliweka roho ya Elia kwa Yohana mbatizaji; kwa vigezo hivyo viwili na of course kingine cha tatu ile kitendo cha kua sometimes anaonekana ana vunja sana SABATO basi waka confirm kwamba huyu sio masihi then wakamkataa; naziona dalili hizo kwako as well. Kihistoria taifa ambalo bado linawashikiria Wayahudi kwa wingi wao hadi sasa is only America, mataifa yalio mengi ukiondoa mataifa ya Uarabuni wengi wa Wayahudi wamerudi kwao, hivi hata ile escape from Sobibo hujaiona!?
Kipindi ambacho Wayahudi waliwahi chukuliwa utumwani sio wote walirudi nyumbani baada ya muda wa utumwa kwisha, refer ile safari ya utumwani Babel (sasa Iraq), watu kama kina Daniel bado waliendelea kua huko huko Babeli na hadi mauti pia yalimkutia huko huko ili hali ni miongoni mwa watu walio OMBA sana kwa Mungu wake kwa habari ya wao kurudi nyumbani. Mungu angekua msanii (kwa maana ya mbunifu) basi ana historia ya kuto rudia rudia alicho kifanya, hua anafanya mambo kiupya upya.
Mimi pia imenishindaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na tulivyo wavivu kusoma, sijui wataisoma wangapi hii
Hujui lolote, Escape from Sobibo ni concentration camp, wale wayahudi walikuwa wanaishi kule na hawakuwa utumwani, hata wale wayahudi Warusia waliokamatwa mateka na kupelekwa camp walikuwa ni wanajeshi wa jeshi la Urusi.
Umeandika takataka tupu hapa.
Ungeandika hivi toka awali ungeeleweka.Umejikanyaga kanyaga sana hata hujaelewa maada na hoja zangu!
Kukusaidia ni kwamba wayahudi baada ya kumkataa Yesu walitawanywa na kuchukuliwa mateka duniani koote kama biblia ilivyoandika
(Soma Luka 21 yoote zingatia mstari wa 24) mwaka 1948 kuna watu walirudi pale israel wakisema wao ni wayahudi kinyume na maandiko yanavyosema hiyo (Luka 21:24) kwamba wayahudi hawatarudi pale israel mpaka yeye mwenyewe Yesu atakapo kuja kwa mara ya pili na yerusalem itakaliwa na mataifa kwa hiki kipindi choote cha mpito! So watu wanaokaa pale yerusalem sasahiv/israel sasahv sio wayahudi bali ni mataifa!!! Hii ndio ilikuwa hoja yangu ya msingi sasa nikosoe kuanzia hapa “Kimaandiko” na sio kwa kuangalia movies
well said mkuuHujui lolote, Escape from Sobibo ni concentration camp, wale wayahudi walikuwa wanaishi kule na hawakuwa utumwani, hata wale wayahudi Warusia waliokamatwa mateka na kupelekwa camp walikuwa ni wanajeshi wa jeshi la Urusi.
Umeandika takataka tupu hapa.
katafiti 25th dynasty ilikua ya watu weusi walitawala misri hao waarab wamekuja baadae sanaMengine umeandika vizuri lakini kusema kwamba waMisri ni weusi nimeshindwa kukuelewa. Unaweza kuwa na point lkn ukiandika kiushabiki na umbumbumbu taarifa inakosa maana na hatima yake ni kukataliwa. Unataka niwaonee huruma wapalestina!!! nitafaidika nini? si heri niwatambue wayahudi hata kama sio sahihi maana angalau kuna maendeleo naweza faidika kuliko kuhubiri ugaidi wakati wote.
Kuanziaa misri mpaka Israeli ilikuwaa ya watu weusi mpka wavamizi walipovamia ardhi hiyookatafiti 25th dynasty ilikua ya watu weusi walitawala misri hao waarab wamekuja baadae sana
Pia Nani kakuambia wapalestina ni Magaidi?? Huoni wameporwa ardhi yao kimabavu hamna maji wala umeme wakati kabla ya wayahudi kuletwa Hali haikuwa hivyo ulitegemea wawachekee wayahudi?
katafiti 25th dynasty ilikua ya watu weusi walitawala misri hao waarab wamekuja baadae sana
Pia Nani kakuambia wapalestina ni Magaidi?? Huoni wameporwa ardhi yao kimabavu hamna maji wala umeme wakati kabla ya wayahudi kuletwa Hali haikuwa hivyo ulitegemea wawachekee wayahudi?
Ila Nawasiwasi na Mataifa ya Eritrea, Ethiopia, Somalia,Misri,Palestina,Yemen hawa uenda ndo Jews halisi kwa Asili zao....But all in All IsRael ya sasa ni ovyo kuliko tunatunavyodhania.....Yan nilishangaa kuna siku ya Mashoga uko Telaviv na ni Mashoga na Masagaji yani yanatoka Dunia nzima yanaenda Israel na inakua ni sherehe kubwa yani nilichoka....watu km wanabisha wa Google waone usodoma na ugomola unaoendelea Israel....Na Kwann Marekan anatumia pesa na silaha nyingi sana kuilinda Israel Je Israel ya sasa inatengenezwa na US/UK ndo hao tunaaminishwa ni wana wa Israel
Waarabu Misri wameingia mwaka 1200 Mkuu. Many deeds have been done by BlacksMengine umeandika vizuri lakini kusema kwamba waMisri ni weusi nimeshindwa kukuelewa. Unaweza kuwa na point lkn ukiandika kiushabiki na umbumbumbu taarifa inakosa maana na hatima yake ni kukataliwa. Unataka niwaonee huruma wapalestina!!! nitafaidika nini? si heri niwatambue wayahudi hata kama sio sahihi maana angalau kuna maendeleo naweza faidika kuliko kuhubiri ugaidi wakati wote.
Ile alama ya bendera inamaanishaa nini mkuu ??Blaza nimekuelewa sana nimekua na maswali mengi sana juu ya hii Israeli ambayo ata bendera yake inaalama za wajenzi huru nashkuru km umeniamsha ngoja nipitie reference ulizotuma
Kuna comment nimezisoma humu zimeniongezea kitu....Man i gotta give u thum-up,shukran mno
Kuna comment nimezisoma humu zimeniongezea kitu....Man i gotta give u thum-up,shukran mno
Ile alama ya bendera wao hawa wayahudi fake wanaiita "STAR OF DAVID" yaani nyota ya Daudi kimsingi katika Biblia hakuna sehemu inayoelezea mfalme Daudi alikuwa na nyota! nitakuelezea maana ya ile nyota ni nn.
Soma kwa makini mkuu na wewe uchunguze kwa kadri ya uelewa wako na Mungu atakavyokufunulia haya mambo tunayajua kwa neema tu ila sio kwa utashi wetu maana waliodanganyika ni wengi kuliko wanaoijua kweli!Blaza nimekuelewa sana nimekua na maswali mengi sana juu ya hii Israeli ambayo ata bendera yake inaalama za wajenzi huru nashkuru km umeniamsha ngoja nipitie reference ulizotuma
.m navofahamu ile alama pembetatu ya chini inamaanisha jua na pembetatu ya chini inamaanisha mweziIle alama ya bendera wao hawa wayahudi fake wanaiita "STAR OF DAVID" yaani nyota ya Daudi kimsingi katika Biblia hakuna sehemu inayoelezea mfalme Daudi alikuwa na nyota! nitakuelezea maana ya ile nyota ni nn.
Kipindi wayahudi wamemuasi Mungu walipochokakumsubiria musa alipokaa siku 40 akiongea na Mungu mlimani ,walichonga sanamu wakaanza kuiabudu sasa ukija ukisoma kwenye kitabu cha Matendo ya Mitume 7:1-43 mtume stefano alikuwa akiwasimulia wana wa israel habari za ibrahimu,Yakobo hadi Musa na kwenye ule mstari wa 43 anasema hivi ....
"Nanyi mlichukua hema ya Moleki,na nyota za Mungu wenu Refani,Sanamu mlizozifanya ili kuziabudu;Nami nitawafahamisha mwende mbali kupita babeli"
Soma pia na Amosi 5:26-27
so wayahudi wale wa zamani walipokuwa wakimuasi Mungu walikuwa wanatengeneza miungu yao na kuabudu nyota! sasa hawa fake wa sasa hv wameweka ile nyota wakidanganya kuwa ni nyota ya Daudi kimsingi si kweli Daudi hakuwahi kuwa na nyota ,ile nyota ni alama ya makafara ya Freemasons/illuminati na organisation nyingine za kisheti,ile nyota ni alama ya shetani mwenyewe maana kuna maandiko yanamtaja shetani kama nyota ya asubuhi(Venus) isaya 14:12! ukifuatilia kwenye vitabu vya freemansons/ilimunati wanatumia ile nyota kufanyia kafara!
.m navofahamu ile alama pembetatu ya chini inamaanisha jua na pembetatu ya chini inamaanisha mwezi
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app