Coping Strategy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 439
- 385
baada ya huduma hakunipa receipt, nilipoiomba akajifanya mnyenyekevu na kutoa mashine, baadae kuisoma vyema nimeona walakini. je jamii inayo hii elimu ya kujua hizi receipt za EFD ambazo fake..Umeibiwa Mkuu jamaa halipi kodi
Hupitwiii?Pic haifunguki nkaiona nami
kuna uwezekano hizi mashine zipo nyingi sana , mana hatuna hulka ya kusoma description.Kaka huyo jamaa ana kesi ya kujibu na wewe lazima utapewa cha kwako cha juu sijui ni % ngapi...
Ila huyo jamaa inakuwaje VAT ni 0?
Tra wamekosa sana mapato ... Kweli inabidi wananchi wenyewe tuamke....bro usiitupe hio risiti ipeleke tra
Kaka huyo jamaa ana kesi ya kujibu na wewe lazima utapewa cha kwako cha juu sijui ni % ngapi...
Ila huyo jamaa inakuwaje VAT ni 0?
Tra wamekosa sana mapato ... Kweli inabidi wananchi wenyewe tuamke....bro usiitupe hio risiti ipeleke tra
Ktk Exempt Goods au ZERO rated goods Petrol or DISEL haimo!!Hiyo risiti ni halali kabisa
Mafuta hayalipiwi kodi, nenda vituo vyote Tanzania hutakuta imetozwa VAT
Mafuta yana tax excemption?Hiyo risiti ni halali kabisa
Mafuta hayalipiwi kodi, nenda vituo vyote Tanzania hutakuta imetozwa VAT
I was joking ndugu yanguNi moja ya kujifunza saint ivuga
Kwema mkuuPoua poua mkuu usijali kawa tu vp hali lakin
Petroli haina vat Kama sukari na ungaKaka huyo jamaa ana kesi ya kujibu na wewe lazima utapewa cha kwako cha juu sijui ni % ngapi...
Ila huyo jamaa inakuwaje VAT ni 0?
Tra wamekosa sana mapato ... Kweli inabidi wananchi wenyewe tuamke....bro usiitupe hio risiti ipeleke tra
Mkuu hivyo mafuta hayalipiwi kodi?Hiyo risiti ni halali kabisa
Mafuta hayalipiwi kodi, nenda vituo vyote Tanzania hutakuta imetozwa VAT
mashine za tra rahisi sana kuchokoroloa asee mi shapiga magumash hapa job wakidai risiti naleta ya kimagumash ya tra yenye vat kabisa na wananipa changu....kuna uwezekano hizi mashine zipo nyingi sana , mana hatuna hulka ya kusoma description.