Tatizo mbeba maono wa kuhakiki vyeti amesahau au kazi zimemzidia, hao walioachiwa hawajui kwa nini wanahakiki vyeti, kwa hiyo ni meli iliyokwenda kwa kasi baadae manahodha hawajui wanapokwenda au wanapotoka.
Asante MH. Rc kwa kusaidia zoezi hili lisitishwe. Sakata lako limesaidia watumishi kupumua, achana na wanaokulaumu na kukulazimisha utoe vyeti vyako hadharani. Wewe ni kinga na ngao kuepusha usumbufu kwa watumishi.