Uhakiki wa vyeti unafanyikaje ?

Uhakiki wa vyeti unafanyikaje ?

Protocol37

Member
Joined
Mar 18, 2016
Posts
32
Reaction score
19
Wakuu habari. Naomba kufahamu huu uhakiki wa vyeti unafanyikaje. Maana hakuna taarifa rasmi tunakuwa tunasikia tu. kama kuna anayefahamu wanafanyaje anijuze.
 
hahaha uhakiki unaendelea ndugu,wenye vyeti feki wanajitumbua wenyewe kabla hawajafikiwa!wengi wamesha acha ajira zao..
 
Wanachukua vyeti vyako wanatoa copy au Ku scan, wanachukua taarifa, wanazipeleka NECTA na Vyuoni kujiridhisha. Ni hivyo tu.
 
Back
Top Bottom