Uhakiki wa vyeti umeacha mapompo mengi serikalini

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Habar ya jioni wanajamvi?

Kuna jambo nimeliona wakati nikiwa katika utendaji wang wa kila siku,nmegundua kuwa wale ambao walikuwa na vyeti vye shida yawezekana walikuwa watendaji wazuri wa serikali kulijo waio na vyeti, kwa ili nitatoa mfano mmoja tyuui.

Mfano wilay ya Ngudu Kwimba,kuna jamaa mmoja alikuwa injinia idara ya maji,huyu bwana nadhani alikuwa na elimu ya PHD,(SINA HAKIKA).

HUYU BWANA ALIKUMBWA NA KASUMBA HII YA VYETI HASA cheti cha form four,kwa kipindi chote cha uwepo wake maji yalianza kuw na historia kwa maN yalianza jupatikana vizur.

Sasa tangu atumbuliwe aise ni shida sanaa,kama hiyo haitoshi naisi ili ni tatzo idara nyingi za Umma .

Hiii inaashira kuwa kwa sasa wale njugu mawe walio kuwa wanatugerezea Darasan ndo wamebakia na sisi tumawaona watu wa maana kumbe ni Mapompo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..Au na we we umekumbwa na pepo la vyetifeki?..
 
Yupo Kwideco ameshikilia balimi.Akitoka hapo ataenda Jojiro na Nyambiti halafu atarudi kula kongoro Nyambogo.Msamehe bure kwa sababu maeneo yake ya kujidai ni kwa marehemu Poti/Smart Choice anajiona mjanjaa kumbe ni mkulima wa Lyoma ndio maana wenge mzuka.Hahahahahaaa!!!
Mkuu, kuwa na utulivu ukiwa unaandaa uzii, mbona roho juu juu kama kaptula ya askari wa kikoloni?

tuliza wenge,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom