Uhakiki wa vyeti ufike kwa wabunge

Uhakiki wa vyeti ufike kwa wabunge

comrade igwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
7,295
Reaction score
3,952
Wanajamvi amani iwe kwenu.

Ninapenda kuwakilisha mada hiyo kwa sababu huu ni uhakiki wa watumishi wa umma/ serikali, maana ya umma ni wananchi, kwa kuwa watumishi wa umma pia ni wabunge basi ili haki itendeke uhakiki huo ufike huko kujiridhisha kuanzia form four, form six , vyuo na hadi vyuo vikuu
 
Sio wabunge tu. Kama vile sensa ilivyo, uhakiki uwepo kwa kila mtu. Hata waziri. Mtu kama aliharibu kazi kitengo fulani kupewa kitengo kikubwa zaidi kusizuie uhakiki. Pili uhakiki usiwe wa vyetu tu, hata akili zilizozaa vyeti zihakikiwe.
 
Acha wakaguliwe sifa ni kujua kusoma na kuandika kwa nini wanadanganya na mivyeti yao feki
 
Hahahaha.! Mkuu wewe utakuwa mchochezi namba moja, hapo ndipo simba na yanga watakapo kaa jukwa moja kumzomea adui
 
Back
Top Bottom