uhakiki wa NHIF

uhakiki wa NHIF

hamogu

Member
Joined
Aug 17, 2011
Posts
14
Reaction score
5
hapo nyuma tuliwahi kujaza fomu za kuhakiki kadi zetu za Bima ya Afya nashangaa ukicheki kwa kutumia *152*00#jibu linalopatikana ni 'mchangiaji hajahakiki taarifa,tafadhali mfahamishe afanye hivyo harakaili kuepuka usumbufu' hija nikipi kilifanyika hapo awali?
 
Back
Top Bottom