Uhakiki vyeti Rita ushaanza?

RITA hawako serious na kazi Yaani tokea tar 18/06/2021 hadi leo 01/07/2021 hakuna chochote ukiwauliza wanachokisema hata hata hakiingii akilini.
Haya majinga dawa yao alikuwa Magufuli tu now yame relax yanasubiri rushwa kama una haraka zako utoe rushwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…