wazirib28 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2015 Posts 460 Reaction score 275 Oct 29, 2016 #1 Habarini wanajamvi. Mnamo tarehe 17/10 kun tangazo la TCU lilisambaa kuhusu kufanya uhakiki. Lakini mimi nimejitahidi kutafuta namna ya kufanya lakini nimeshindwa. Kama kuna aliyeweza atujuze tafadhali.
Habarini wanajamvi. Mnamo tarehe 17/10 kun tangazo la TCU lilisambaa kuhusu kufanya uhakiki. Lakini mimi nimejitahidi kutafuta namna ya kufanya lakini nimeshindwa. Kama kuna aliyeweza atujuze tafadhali.
Page 94 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5,202 Reaction score 15,231 Oct 29, 2016 #2 Woi,usichukulie kila kitu serious Mkuu! Zingine potezeaga tu! Kama litatokea basi utaona kila dalili!
Woi,usichukulie kila kitu serious Mkuu! Zingine potezeaga tu! Kama litatokea basi utaona kila dalili!
K kokaumba JF-Expert Member Joined Sep 12, 2016 Posts 404 Reaction score 188 Oct 29, 2016 #3 Wamekanusha Source😀ARUSO
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,910 Reaction score 18,558 Oct 29, 2016 #4 Inavyoelekea Katibu MKUU wa wizara ya elimu alitoa tangazo hilo bila ya kuwasiliana na TCU hivyo TCU wameamua kuuchuna!
Inavyoelekea Katibu MKUU wa wizara ya elimu alitoa tangazo hilo bila ya kuwasiliana na TCU hivyo TCU wameamua kuuchuna!
club6 Senior Member Joined Apr 11, 2014 Posts 157 Reaction score 61 Oct 29, 2016 #5 Wameshatoa majina 63,773. Pitia majina hayo mpk upate jina lako. Kama halipo ujue wamekutema
LTN USU WA MADOSO JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 1,193 Reaction score 859 Oct 29, 2016 #6 zubery360 said: Wameshatoa majina 63,773. Pitia majina hayo mpk upate jina lako. Kama halipo ujue wamekutema Click to expand... kuna watu wametemwa?
zubery360 said: Wameshatoa majina 63,773. Pitia majina hayo mpk upate jina lako. Kama halipo ujue wamekutema Click to expand... kuna watu wametemwa?
club6 Senior Member Joined Apr 11, 2014 Posts 157 Reaction score 61 Oct 29, 2016 #7 Walitangaza, kama hutaeza kuta jina lako utapaswa kwenda ofisini kwao.
E Edger Lunduno Member Joined Oct 20, 2016 Posts 11 Reaction score 6 Oct 29, 2016 #8 zubery360 said: Wameshatoa majina 63,773. Pitia majina hayo mpk upate jina lako. Kama halipo ujue wamekutema Click to expand... Ni majina ya madgo wanaoingia second year thic year hakuna wa mwaka wa tatu wala wanne wala wa5 Attachments allocations_2015_16_2-1.pdf allocations_2015_16_2-1.pdf 1.9 MB · Views: 573
zubery360 said: Wameshatoa majina 63,773. Pitia majina hayo mpk upate jina lako. Kama halipo ujue wamekutema Click to expand... Ni majina ya madgo wanaoingia second year thic year hakuna wa mwaka wa tatu wala wanne wala wa5
club6 Senior Member Joined Apr 11, 2014 Posts 157 Reaction score 61 Oct 29, 2016 #9 Sasa hiyo huoni ni ya AY 2015/16? Siyo hiyo
Evari77 JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 765 Reaction score 797 Oct 29, 2016 #10 Edger Lunduno said: Ni majina ya madgo wanaoingia second year thic year hakuna wa mwaka wa tatu wala wanne wala wa5 Click to expand... Haya majina umetoa wapi 28554 wakati haijafika hata nusu
Edger Lunduno said: Ni majina ya madgo wanaoingia second year thic year hakuna wa mwaka wa tatu wala wanne wala wa5 Click to expand... Haya majina umetoa wapi 28554 wakati haijafika hata nusu
Evari77 JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 765 Reaction score 797 Oct 29, 2016 #11 Haya majina ya mkopo mwaka jana first batch
wazirib28 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2015 Posts 460 Reaction score 275 Oct 29, 2016 Thread starter #12 Edger Lunduno said: Ni majina ya madgo wanaoingia second year thic year hakuna wa mwaka wa tatu wala wanne wala wa5 Click to expand... Mbona hayo ni ya allocation ya mkopo mwakajana. Kwan ww umeyatoa wapi?
Edger Lunduno said: Ni majina ya madgo wanaoingia second year thic year hakuna wa mwaka wa tatu wala wanne wala wa5 Click to expand... Mbona hayo ni ya allocation ya mkopo mwakajana. Kwan ww umeyatoa wapi?
Amphibia Member Joined Oct 18, 2016 Posts 6 Reaction score 4 Oct 30, 2016 #13 Hayo majina mbona sielewi mkuu
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,848 Oct 30, 2016 #14 Hatari kweli
M maharco Senior Member Joined Nov 28, 2015 Posts 116 Reaction score 35 Oct 30, 2016 #15 Mbona sijaona hayo majina kwenye website yoyote ile au ndo tetesi kwanza
M maharco Senior Member Joined Nov 28, 2015 Posts 116 Reaction score 35 Oct 30, 2016 #16 HESLB na TCU pia hayapo wakuu