Uhakiki kwa wastaafu

Uhakiki kwa wastaafu

nyamofu

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
295
Reaction score
75
Wakuu naulizia zoezi la uhakiki kwa wastaafu ambao hupokea pesa zao za pensheni baada ya miezi 3, eti limetangazwa na kama ndiyo lini zoezi litafanyika na maeneo gani?? Baba yangu ameletewa taarifa hizo ila zikiwa nusu, kwa yoyote anayejua anifahamishe
 
Back
Top Bottom