Elections 2010 Uhakiki daftari la wapiga kura

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,246
401
wakuu nimeangalia kupitia mtandao wa NEC kuhajiji jina langu sijaliona! nimeana majina ya familia yangu tu. Sasa sijui bado daftari linaendelea ku-updatiwa au nimeliwa?
Tafadhari mwenyekujua taratibu anisaidie nifanye namna gani?
 
Fuata link below, unaweka namba ya shahada yako ya kupigia kura na email address, then click send, inakupa jina na kituo ulichojiandikisha. huweki jina.

http://www.nec.go.tz/?modules=reg_status&sub
 
Majina yameshabandikwa kwenye vituo vya kupiga kura. Fika uthibitishe Jina lako na uhamasishe wengine wafanye vivo. Wamebandika pia majina ya waliojiandikisha lakini wamekataliwa kupiga kura. Fuatilia pengine wewe ni mmojawapo
 
Fuata link below, unaweka namba ya shahada yako ya kupigia kura na email address, then click send, inakupa jina na kituo ulichojiandikisha. huweki jina.

The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage

Mkuu wangu ndicho nilichokifanya nimeweka namba ya shahada yangu iko blank! za familia yangu ziko OK. nimeenda mbali zaidi nimejaribu namba kabla ya ya kwangu na ya baada ya ya kwangu zinakubali ziko ok!
 
Back
Top Bottom