Hujakua bado..Ccm mbele kwa mbele
Kwa sasa Haitajiki Mtu, Kinachoitajika CCM Ikae Pembeni Mambo Mengine Yataeleweka Mbele ya safari. Tatizo si Mh.
Lowassa au Mh. Magufuli, Tatizo Ni Sisiem Na Ndiyo Watanzania Hawataki Kusikia Mdudu CCM. Adui wa Watanzania si Mwingine ni
Mdudu anaitwa CCM wala si mtu Mmoja Mmoja.
Escrow, Epa, Radar ,Dee Green,Meremeta, Mabehewa ya Train, Nyumba za Serikali Kugawana almost Bure, Kivuko Dar-Bagamoyo CCM
mbona Richmond haujaitaja we jamaaaaaaa
mbona Richmond haujaitaja we jamaaaaaaa
Ccm mbele kwa mbele
Mwambie Lowassa arudishe hela za Richmond now
Slaa Yupo Na Atafanya Kampeni
Mpaka Tuingie Ikulu
Teeeee..teeeeeeeeeeeeeee..teeeeeeeeeeeee.Mwalimu wangu Kipindi Nachukua Degree ya Pili, Alinifundisha Kwenye Somo La Bussiness Strategies ya Kwamba Nisidhubutu Kuitamka Weakness Yoyote Inayohusu Biashara zangu Kwa Wateja.
Hata hivyo Waswahili Usema "Mavi la Kale Hayanuki", Miaka 8 Ni Zamani Sana Na Mgombea Wangu Anasema Mwenye Ushahidi Mahakama Zipo Wazi.
Ccm mbele kwa mbele