Uhai Tanzania

mashine

Member
Feb 24, 2013
90
27
Awa jaamaa ciwaelewi. Lengo ni kuchangisha ama kutoa Ajira.
Hawaishi kusema uje kwenye séminaire na viingilio.
Amaja jaza form fulani ambayo pia inagharama.
Mnao ijua vzuri hawa jamaa nikweli ama wanataka kupiga héla tu.
Wanasema wanazaminiwa na startime.
Naimba kujuzwa zaid
 
mi nishawaona ni wezi tu hao watu, kwanza hata ofisi hawana wanajishikizashikiza tu, walinitumia kajiemail chao uandikaji wake tu nikajua hakuna kitu hapa mara upige simu sijui
 
Hakika kwenye shida ya ajira wengi tutalia, make matatizo yetu, wengine wanageuza kuwa fursa.
 
Hao UHAI-Tanzania ni wahuni tu, hamna kitu. Eti Project ipo sponsored na 'StarTimes'... teh teh full magumashi nahisi.

Nasikia hata uandishi wao tu ni supana-mkononi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom