Uhaba wa Luku

NendaKaseme

New Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Raia wenzangu, mmeshakutana na vituo vya luku ambavyo havina LUKU kwa siku kadhaa? Sababu kuu tunaambiwa ni network, tanesco sijawaskia wakisema lolote zaidi ya kuomba radhi kwa umeme uliokatika leo.(tunafaham kuna maeneo kuna mgao wa kufa mtu.)
 
Ss wengine bado tupo na luku ya kadi mzee wa fund..nyumba ya kupanga si unajua mwenyewe ndo ana final say? Especialy akijua kuwa ukibadilisha luku, makato yatakuja wakat unalipa kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…