kama kawaida yenu hamuishiwi visa, katika mile kinachoelezwa kuwa Tanzania imekumbwa/inaelekea kukumbwa na baa LA njaa, tayari wameanza visingizio kuwa Luna wafanyabiashara walioficha chakula.
mtakumbuka kuwa hata kipindi kile sukari ilipoadimika, walisingizia kuwa sukari IPO nchini ila imefichwa na wafanyabiashara ili wapate faida kubwa.
ilifanyika misako kwa mbwembwe, lakini iliisha kimya kimya bila serikali kuthibitisha dhahiri Masai yao.
kwa nini nyie huwa hamuishiwi visa?. kubalini nchi imewashinda
nawasilisha